Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Sunday 5 January 2014

CHELSEA YAPETA KOMBE LA FA



AKICHEZA mechi yake ya 300, kiungo John Obi Mikel amefunga bao katika ushindi wa Chelsea wa 2-0 katika Raundi ya tatu ya Kombe la FA jioni hii Uwanja wa iPro.
Kwa ushindi huo, The Blues inayofundishwa na Jose Mourinho imefuzu kuingia Raundi ya nne ya Kombe la FA.

Mikel alifunga bao lake dakika ya 66 kabla ya Oscar kufunga la pili dakika ya 71. Chanzo: binzubeiry

No comments:

Post a Comment