Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 26 October 2013

BOLLYHOOD, UNAMKUMBUKA ANJALI MTOTO KATIKA KUCH KUCH HOTA HAE

 
Huyu ni yule mtoto aliigiza kama mtoto wa SHAHRUKH KHAN aliyezaliwa kisha mama yake RANI anafariki. Alipofikisha miaka 8 anapewa kitabu alichoachiwa na mama yake kinachohusu hadithi ya baba yake na rafiki wa baba yake KAJOL.
Jina lake halisi ni Sana Saeed, kazaliwa tarehe 22 September 1988, wakati anaigiza kuch kuch hota hae alikuwa na miaka 10 tu. Alijizolea umaarufu sana na kupelekea kupata tuzo mbalimbali.
Miaka imesogea sasa na katoto kamekuwa kikubwa, mwaka jana amecheza movie ya STUDENT OF THE YEAR akitumia jina la TANYA.

No comments:

Post a Comment