Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Wednesday 23 October 2013

Picha: Kanye West amvisha pete Kim siku ya birthday yake, akodisha uwanja mzima wa baseball kwa dola

HABARI NA DJ FETTY BLOGU
Kanye West atoa bonge la surprise kwa mama mtoto wake Kim Kardashian kwenye birthday yake ambayo ilikua ni siku ya jumatatu ya jana ( October 21) baada ya kumuomba amuoe na kumvisha pete ya Diamond(sio diamond msanii) yaani almasi, yenye Carate 15 katika uwanja wa baseball wa AT&T, Francisco.

Rapper huyu ali- propose huku band za orchestra zikitumbuiza ngoma ya Lana Del Rey "young and beautiful" ambayo anaipenda Kim lakini pia ngoma ya Kanye mwenyewe "Knock me Down" wakati zoezi likiendelea huku screen iki flash neno "PLEEEEASE MARRY MEEEEE"


Baruti ziliwaka na kuruka mara tu baada ya Kim kusema YES na ndugu zake kujitokeza na kushangilia. Hii itakuwa ni ndoa ya 3 kwa Kim huku ikiwa ni ya kwanza kwa Kanye



Hivi ndivyo ilivyokuwa ikionekana kwenye screen kubwa


No comments:

Post a Comment