Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Wednesday 23 October 2013

Kutana na picha 7 za utengenezwaji wa video mpya ya Madee ‘Tema mate tumchape’


HABARI NA MILLARD AYO WEB.
Baada ya kuvunja rekodi kwa mara ya kwanza kwa single yake ya ‘Pombe yangu’ iliyokaa kwa wiki zaidi ya 30 kwenye Clouds FM Top 20 ikiwa ni single iliyomuingizia zaidi ya milioni 130 kutokana na showz, staa kutoka Manzese Madee ametoa single yake mpya siku kadhaa zilizopita inaitwa ‘tema mate tumchape’ ft Raymond.

Hizi picha ni Exclusive akiwa Nairobi Kenya alikokwenda kufanya hii video na kampuni ya Ogopa ambao wametoa ahadi ya video hii kukamilika na kuwafikia Watanzania soon so endelea kuwa karibu na mtu wako wa nguvu kupitia facebook.com twitter.com na instagram.com/millardayo pia tembelea millardayo.com kila siku usipitwe na chochote mtu wangu











No comments:

Post a Comment