Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 26 October 2013

Hawa ndio washindi wa Fiesta Super Nyota 2013


Kwenye Super Nyota ya mwaka jana 2012 washindi walikua ni Ney Lee kutoka 87.8 Mbeya pamoja na Young Killer kutoka 88.1 Mwanza lakini mwaka huu washindi ni hawa Eddy Boy kutoka Mwanza pamoja na K Style na G Lucky wanaotoka Dar es salaam.
SuperNyota ni shindano la kuibua vipaji vya muziki ambalo limekua likiambatana na Tour ya show ya Fiesta.

No comments:

Post a Comment