

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusukatikaKituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya......

www.tabasamuleo.blogspot.com





Zifuatazo ni kauli za Ismail Aden Rage ambazo nimemnukuu akiongea na Waandishi kutokana na stori zilizochukua headlines kwa siku kadhaa kuhusu Kamati kumsimamisha kama Mwenyekiti wa Simba.
Hii ni moja ya mechi nyingine kubwa za Premier League November 24 2013.
BAO la mapema sekunde ya 14 la Jesus Navas lilifungua biashara nzuri leo Man City ikiibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Tottenham. Winga huyo wa Hispania, Navas alifunga bao la pili la mapema msimu huu kufuatia makosa ya kipa wa Spurs, Hugo Lloris. Sandro alijifunga dakika ya 34 kuipa bao la pili timu ya Manuel Pellegrini kaba ya Sergio Aguero kufunga mawili dakika za 41 na 51, Alvaro Negredo akaongeza dakika ya 56 na Jesus Navas akahitimisha karamu ya mabao dakika ya 90. Kikosi cha Man City kilikuwa: Pantilimon, Zabaleta, Demichelis, Nastasic/Lecsott dk45, Clichy, Toure, Fernandhino, Navas, Negredo, Nasri/Milner dk77 na Aguero/Garcia dk69. Tottenham: Lloris, Walker, Dawson, Kaboul, Vertonghen, Sandro, Lennon, Holtby/Adebayor dk45, Paulinho/Dembele dk60, Lamela na Soldado.
MSHAMBULIAJI Mario Goetze ameifunga
klabu yake ya zamani, Borussia Dortmund ikilala 3-0 mbele ya wapinzani
Bayern Munich katika mechi kali ya timu mbili zinazofukuzana kuwania
ubingwa usiku wa jana.