Pichaz za Waliojitokeza kumsikiliza Zitto Kabwe leo, wakiwemo Wazazi na Wasanii 7 wa bongofleva
Ukiachia
mbali camera nyingine, camera za video peke yake za waandishi wa habari
kwenye mkutano wa Zitto Kabwe na Waandishi wa habari zilikua zaidi ya
20. Baba na mama Zitto. Kwenye hii picha wanaonekana Wasanii Baba Levo, Afande Sele na Peter Msechu wakifatilia wakati Zitto Kabwe anaongea. Peter Msechu, Mwasiti, Makomando, Baba Levo na Queen Darling wakiwa nje ya jengo alikofanyia mkutano Zitto Kabwe.
No comments:
Post a Comment