Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 30 November 2013

Mzungu wa Simba kutua kesho

Pambano baina ya wapinzani hao wa kihistoria katika soka la Tanzania litapigwa Desemba 21 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi jijini Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Sued Nkwabi alisema mazoezi hayo yataanza chini ya kocha mpya wa timu hiyo Mcrotia, Zdravko Lugarusic atakayetua nchini Jumapili.
“Kamati ya utendaji ilikutana jana usiku (juzi), ambapo tulikubaliana kikosi chetu kianze maandalizi ya mechi dhidi ya Yanga Jumatatu ijayo na yataongozwa na kocha wetu mpya Zdravko Lugarusic kutoka Crotia ambaye atatua Jumapili,”alisema Nkwabi na kuongeza:


“Pia kesho (leo) tutampokea kipa wetu mpya Yaw Berko ambaye mashabiki wengi wanamfahamu kwani aliwahi kuichezea Yanga kwa mafanikio makubwa.”


Wakati huo huo, kipa mpya wa Simba, Yaw Berko alitarajiwa kutua jana jijini Dar es Salaam akitokea nchini kwa Ghana kwa ajili ya kujiunga kikosi hicho cha mtaa wa Msimbazi.


Pia aliyekuwa kocha wa Simba katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu,


Abdallah Kibadeni anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake huko

No comments:

Post a Comment