Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 26 October 2013

Mark Hughes aiponda klabu yake ya zamani Manchester United dhidi ya Stoke City


Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Mark Hughes ambaye kwa sasa anainoa Stoke City
bbc.co.uk
Na Martha Saranga Amini
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Manchester United Mark Hughes anaamini klabu hiyo ni dhaifu kidogo wakati huu ikiandaa kuikabilia Stoke City jumamosi katika ligi ya mabingwa katika uwanja wa Old Trafford.
Meneja mpya David Moyes amejihakikishia mwanzo mzuri tangu aliziba pengo la Alex Ferguson katika msimu wa mwisho huku upande wake akipoteza alama 13 katika mechi 8.

Hughes pia amekabiliana na ugumu tangu kukabidhiwa klabu hiyo ya Stoke kama meneja ingawa anaamini hautakuwa wakati mbaya kucheza ligi ya mabingwa.

Akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari meneja Hughes amesema kuna baadhi ya michezo ambayo klabu yake ya zamani imeshindwa kama michezo mitatu jambo analo liona inakabiliwa na wakati mgumu.

Ushindi wa zaidi ya mara tano unaweza kukfanya ubaki katika michuano lakini kupoteza michezo zaidi ya sita kunaongeza hatari zaidi kwa mchezo wa jumamosi.

United wanaalama 8 nyuma ya klabu ya Arsenal ingawa Hughes anasema kuwa kuondoka kwa Ferguson, ambaye aliipatia klabu yake ubingwa wa ligi mara 13 huko Old Trafford, kutachangia kudidimia kwa klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment