Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Thursday 9 January 2014

REAL MADRID YAUA 2-0 KOMBE LA LIGI HISPANIA


Benzema akishangilia bao lake jana

WINGA Gareth Bale amecheza dakika 90 kwa mara ya kwanza 2014 wakati Real Madrid ikiinda mechi ya kwanza ya Kombe la Hispania hatua ya 16 bora na kuifunga 2-0 Osasuna.
Karim Benzema alifunga bao lake la 99 dakika ya tisa akiwa na jezi ya Real Madrid na kinda wa miaka 20, Jese akafunga la pili dakika ya 60. Lakini Real walipoteza nafasi kibao za kuongeza mabao kipindi cha pili ukiwemo mkwaju wa Bale uliotokana na Ronaldo kuchezewa rafu katika eneo la hatari.




Cristiano Ronaldo made a superhuman effort at the back post but couldn't keep his header down

No comments:

Post a Comment