Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Sunday 5 January 2014

ARSENAL NA COVENTRY, CHELSEA NA STOKE RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA



TIMU ya Arsenal itacheza nyumbani mechi ya Raundi ya Nne ya Kombe la FA dhidi ya timu ya Daraja la Kwanza, Coventry.
Vigogo wote wa Ligi Kuu wametenganishwa katika Raundi hiyo, huku Chelsea ikiwa mwenyeji wa Stoke, wakati mshindi wa mechi ya marudiano kati ya Manchester City na Blackburn atacheza nyumbani na Bristol City au Watford.

Stevenage baada ya kuitoa Doncaster watamenyana na washindi mara tano wa Kombe la FA, Everton. Chanzo: binzubeiry

No comments:

Post a Comment