Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 11 January 2014

COASTAL UNION YAWALAZA WAARABU 2-0 OMAN


Coastal Union (wenye jezi nyekundu) wameanza ziara yao ya Oman leo kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji Musannaa. Coastal ipo huko kwa ziara ya kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment