Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 11 January 2014

MESSI ASHINDWA KUIBEBA BARCA LA LIGA


Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipiga kichwa katika mechi ya La Liga dhidi ya Atletico Madrid usiku huu iliyoisha kwa sare ya bila kufungana. Messi aliingia akitokea benchi na kushindwa kuipa ushindi Barca ugenini. Timu hizo zinakabana kileleni mwa La Liga, kila moja ikiwa na pointi 50 baada ya kucheza 19, ingawa Barca iko juu kwa sababu ya wastani mzuri wa mabao. Real Madrid iliyocheza mechi 18 ni ya pili kwa pointi zake 44.

No comments:

Post a Comment