Wednesday, 18 December 2013
SAKATA LA UONGOZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA KIKAPU NCHINI LAENDELEA,MALUWE ADHIBITSHA KUGOMBEA NAFASI YA UKATIBU MKUU.
Wakati uchaguzi mkuu wa shirikisho la mpira wa kikapu Tanzania TBF ukitarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu, baadhi ya viongozi mchezo huo wameibuka na kuweka bayana baadhi ya mapungufu yaliyopo kwenye uongozi unaomaliza muda wake.
Kutokana na mapungufu hayo baadhi ya makocha wameomba na baadhi ya wadau wa mchezo wameomba Baraza la Michezo la Taifa BMT kusimamisha uchaguzi huo kwani haukufuata utaratibu kwa mujibu wa katiba.
Richard Jules makamu wa Rais wa chama cha Kikapu mkoa wa Dar es salaam naye pia anafafanua baadhi ya mapungufu hayo.
Naye katibu msaidizi wa TBF Michael Maluwe amejibu baadhi ya tuhuma hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment