Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Thursday 19 December 2013

Nicki Minaj aingia rasmi kwenye ulimwengu wa movie, hii hapa ni trailer ya movie hiyo.



Nicki Minaj alitajwa kuwa namba 4 na Forbes.com kwenye list ya wasanii wa Hiphop walioingiza pesa nyingi sana kuanzia June 2012 hadi June 2013 kwa kuingiza dola millioni 29 kutokana na kazi yake ya muziki,American Idol,Pepsi na vitu vingine.

Jinsi inavyoonekana anaweza kuwa kwenye list hii tena mwakani akiwa na pesa nyingi zaidi kwa kuingia kwenye ulimwengu wa movie.

Nicki Minaj ameigiza movie moja na Cameron Diaz kwenye romantic comedy inaitwa “The Other Woman”.

No comments:

Post a Comment