Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Monday 16 December 2013

BARCELONA YAWEKA REKODI MPYA YA KUKAA MAJUMA 54 KILELENI LA LIGA.


FC Barcelona imeivunja rekodi iliyowekwa na mahasimu wao kwenye soka la Hispania Real Madrid,kati ya mwaka 1987 na 1988 ya kukikalia kiti cha msimamo wa LA LIGA kwa muda mrefu.
FC Barcelona iliweka rekodi hiyo mpya kukaa kileleni kwa majuma 54 mfululizo mwishoni mwa juma lililopita baada ya kuifunga Villarreal mabao 3-1 .
Hapo awali kati ya mwaka 1987 na 1987 Real Madrid ilikaa kileleni mwa msimamo wa LA LIGA kwa kipindi cha majuma 53.

No comments:

Post a Comment