Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Monday 16 December 2013

Liverpool yamsaka nyota PSV


Liverpool imeanza kumfutilia kwa karibu mshambuliaji wa PSV Eindhoven, Ola Toivonen.


Nyota huyo mwenye miaka 27, ambaye pia alitakiwa na Newcastle, anauwezo wa kucheza nafasi ya kiungo na ushambuliaji, atakuwa akiziba pengo la majeruhi katika kikosi cha Brendan Rodgers.

No comments:

Post a Comment