Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Friday 20 December 2013

ONA PICHA ZAIDI YA 15,Jinsi Diamond alivyoenda kuwapa zawadi za msimu wa sikukuu watoto yatima Buguruni.



Diamond ametumia siku ya leo Dec 20, 2013 kwenda kutembelea,kutoa zawadi na kula pamoja na watoto na walezi wa kituo cha watoto yatima huko Buguruni Malapa House.
Diamond anasema kwasababu huu ni msimu wa sikukuu na ameamua kuanza kusherekea na watoto hasa ambao wapo kwenye mazingira kama haya.

Ameongeza kwamba atakuwa anafanya hivi kwenye siku tofauti kwenye msimu huu wa sikukuu ili kuwapa faraja na pia kuwakaribisha watoto kwenye show maalum atakayowafanyia siku ya Christmats.

Hizi ni picha ya kila kitu kilichoendelea ambapo Diamond alipata nafasi ya kupiga story na watoto hao pamoja na kula nao na alitoa complimentary za watoto kutoka kwenye kituo hicho kuja kwenye show yake ya Christmas kwa ajili ya watoto.






































No comments:

Post a Comment