Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Tuesday 17 December 2013

Beyonce ndio ameziweka wazi dakika 6 za ‘drunk in love’ kihivi

BeyNi dakika nyingine za video mpya kwa wale fans wa kazi za Beyonce ambae amevunja rekodi kwenye kumiliki headlines za twitter wiki hii kutokana na idadi kubwa ya tweets kumuongelea sababu ya kuachia album mpya ambayo hakuitangaza popote.
Kwenye hii video mpya, kamshirikisha mumewe Jay Z.

No comments:

Post a Comment