Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 12 October 2013

MH. Temba apata mtoto wa kiume


Kutoka TMK, msanii ambaye aliwahi kuwa mchezaji basketball hadi kupewa nafasi ya kujiunga na jeshi kutokana na kucheza mchezo huo lakini lishindikana kutokana na kuwa na tatoo. Habari nzuri ni kwamba Temba amepata mtoto mwingine na kufanya idadi ya watoto wake kuwa wawili. Mtoto huyo wa kiume amepewa jina laMelyvin ambaye pia dada yake anaitwa Mishell
Mtoto Melyvin

Mishell Temba

No comments:

Post a Comment