Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Thursday 10 October 2013

DIAMOND na WEMA SEPETU waigiza move moja inaitwa "TEMPTATIONS", Pia Diamond amfariji "I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA"


Leo ilikuwa kama gumzo katika account ya Instagram baada ya kuonekana picha hizi Diamond akiwa na Wema Sepetu pande za China. Mengi yalisemwa hadi wengine kudiriki kumtukana Penny ambaye ndio wa Diamond lakini ukweli ni kwamba hii ni movie mpya kabisa iliyochezwa na Diamond akiwa na Wema Sepetu na hakuna kingine kinachoendelea tena hapa ni kazi tu.
Namnukuu Diamond akiyasema maneno haya


Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA
.www.tabasamuleo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment