Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Thursday 10 October 2013

Tazama tatoo mpya ya Rihanna na video yake akisikilizia maumivu wakati wa kuchora



Badgalriri kama anavyojiita kwenye Instagram, hivi karibuni amechora tatoo mpya kwenye mkono wake. Rihanna alichora tatoo hiyo ya asili ya huko New Zealand alipoenda kufanya show, unaambiwa style uchoraji wa tatoo hii unaleta maumivu makali zaidi ya tatoo za kawaida.Angalia hii video uone jinsi Rihanna alivyokuwa anasilizia maumivu ya kuchorwa hiyo tatoo.




No comments:

Post a Comment