Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Thursday 10 October 2013

Mwigizaji Lulu aamua kujichora tatto baada ya watu kumhukum na kuwataka kumuachia Mungu jukumu hilo


Msanii wa Bongo Movie Tanzania, Elizabeth Michael "Lulu" ameamua kuchora tattoo iliyoandikwa "Only God Can Judge Me" chini yashingo upande wa bega lake la kushoto, baada ua kuona watu wamekuwa wakimhukum kwa mambo ayafanyao kulliko Mungu ambae ndie mwenye cheo chake, na kuwataka watu kumuachia jukumu hilo Mungu pekee, na kucha kujipa u-busy usio wa lazima

No comments:

Post a Comment