
Tembo wauwaji: Wachezaji wa Ivory Coast wakishangilia ushindi wao leo
Sasa Ivory Coast watahitaji sare au kufungwa si zaidi ya wastani wa bao moja katika mchezo wa marudiano moja ili kujikatia tiketi ya Brazil mwakani. Seneal yenyewe itahitaji kushinda 2-0 tu nyumbani, ili kujihakikishia kurejea Fainali za Kombe la Dunia.(P.T)

Didier Drogba ameifungia Ivory Coast leo

Salomon Kalou na Drogba walicheza pamoja Chelsea miaka kadhaa

Umefanya vizuri: Gervinho akizungumza na kocha Sabri Lamouchi baada ya mechi
Bao pekee la Senegal lilifungwa na Papiss Cisse dakika tano kabla ya filimbi ya mwisho.
No comments:
Post a Comment