Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Sunday 12 January 2014

WABUNGE WA MUUNGANO WAKIWAPASHIA WAWAKILISHI LEO GYMKHANA, HUYO HALIMA MDEE NA ESTHER BULAYA...


Mbunge wa jimbo la Kawe, Dar es Salaam, Halima Mdee kushoto akiruka juu kuwania mpira wakati wa mazoezi ya timu ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jioni leo Uwanja wa Gymkhana, Zanzibar kujiandaa na mchezo dhidi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kesho kwenye Uwanja huo katika mfululizo wa sherehe za miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar.

Wabunge wakipasha Gymkhana leo


Mapumziko; Halima Mdee kushoto akiwa na Mbunge wa CCM, Viti Maalum, Esther Bulaya kulia


Halima Mdee akikaba

No comments:

Post a Comment