Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Saturday 18 January 2014

RONALDO KUWANUNULIA GARI JIPYAAAA MADAKTARI REAL MADRID...NI FURAHA YA BALLON D'OR

NI kazi ngumu kuwa mchua misuli wa Cristiano Ronaldo, lakini wakati mwingine inalipa.
Mchezaji huyo ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, FIFA Ballon d’Or amewaahidi madaktari wa Madrid kuwanunulia gari mpya baada ya kushinda tuzo hiyo wiki hii.
Katika mahojiano ya hivi karibuni na Sportsmail, kocha wa Real Madrid, Paul Clement amezungumzia mambo ambayo Ronaldo atayafanya atakaporejea kutoka kwenye mechi za katikati ya wiki za Ligi ya Mabingwa.

Wote wanatabasamu: Cristiano Ronaldo amewaahidi madaktari wa Real Madrid kuwanunulia gari mpya baada ya kushinda Ballon d'Or


Ronaldo alimwaga machozi wakati anapokea tuzo hiyo. Kulia ni Pele.



Kocha Msaidizi wa Madrid, Paul Clement (kushoto) akiwa na Zidane
Ronaldo anatambua na kuheshimu sana mchango wa madaktari wake na wakati wote amekuwa mkweli wa ahadi kwao na awali amekwishawahi kuwazawadia saa mpya na simu aina ya iPhones toleo jipya.

Wote kazini! Ronaldo alipigwa picha akifanyiwa massage na timu nzima ya madaktari wa Madrid mwezi uliopita

No comments:

Post a Comment