Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Tuesday 15 October 2013

Zaidi ya picha 10 za mapokezi ya Ommy Dimpoz kutoka Airport mpaka hapa nyumbani kwake

Staa wa bongofleva ambae anatajwa kushika nafasi ya pili kwa kulipwa pesa nyingi kwenye show (milioni 8 kwa Tz) huku ya kwanza ikishikwa na Diamond Platnums (milioni 10 kwa TZ), Ommy Dimpoz amerejea Tanzania leo October 15 2013 baada ya kukaa Marekani kwa karibu wiki nne.

Ni show tatu tu ndio zilimpeleka Ommy Dimpoz na kumuingiza Marekani kwa mara ya kwanza… kutana na picha zake za mapokezi baada ya kutua Dar es salaam alafu stori utaiona baadae on millardayo.com na kwenye AyoTV.

Airport Dar es salaaam



Baada ya kuwasili nyumbani kwake Dar es salaam, hapa ni nje ya nyumba yake yenye hilo geiti jeusi hapo

Mtaani kwenyewe..

Meneja Mubenga akisaidia kubeba mizigo














www.tabasamuleo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment