Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Friday 18 October 2013

Huyu ndio msanii wa pili aliethibitishwa kushuka kwenye Fiesta 2013


Jana Clouds Fm ilimtangaza Davido kutoka Nigeria kuwa ni mmoja kati ya wasanii wanne watakao tia timu kwa ajili ya Fiesta 2013, na leo hii msanii wa pili ametangazwa kutoka nje ya Tanzania niAlaine kutoka Jamaica.

Alaine ni msanii ambae licha ya kuwa na hit single kibao, lakini pia ni msanii aliefanya kazi na Wyre kutoka Kenya na kutoa bonge la hit "Nakupenda Pia" ambayo hata hapa nchini imekubalika kinoma noma.

No comments:

Post a Comment