Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Thursday 2 January 2014

FRANK LAMPARD & BRANISLAV NJE MWEZI MMOJA!!



Nyota wa Chelsea Frank Lampard na
Branislav Ivanovic watakuwa nje kwa Mwezi
mmoja baada kuumia kwenye Mechi na
Liverpool ambayo walishinda 2-1 Uwanjani
Stamford Bridge hivi Juzi.
Habari hizi pia zimethibitishwa na Meneja wa
Chelsea Jose Mourinho akiongea mara baada
ya kuichapa Southampton 3-0 Siku ya Mwaka
mpya.
Ivanovic, mwenye Miaka 29 na anaetoka
Serbia, ameumia Goti na Lampard, Miaka 35,
ameumia Musuli.
Lampard, Msimu huu, amefunga Bao 4 katika
Mechi 18 za Ligi na Ivanovic amechezea
Mechi zote 26 za Chelsea katika Mashindano
yote Msimu huu.

No comments:

Post a Comment