Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Monday 10 March 2014

MAN UNITED YATUA URENO KUSAJILI BONGE LA KIUNGO KABAJI LINALOCHEZA TIMU MOJA NA RONALDO

KLABU ya Manchester United imeanza mazungumzo na Sporting Lisbon juu ya kumsaini kiungo mkabaji William Carvalho.
Kocha wa United, David Moyes amemtambulisha mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 kama mchezaji muhimu zaidi katika usajili wake wa msimu ujao na tayari imewasilisha maombi ya kumsajili Sporting.

Kifaa cha uhakika: United ipo kwenye mazungumzo na Sporting Lisbon ya Ureno kwa ajili ya William Carvalho kushoto

+7
United itataka kukamilisha usajili wa nyota huyo wa Ureno kabla ya Fainali za Kombe la Dunia


Klabu hiyo ya Ureno inaweza kumuuza mzaliwa huyo wa Angola kwa kiasi cha Pauni Milioni 29, lakini United inafikiri thamani yake ni si chini ya Pauni Milioni 4.

No comments:

Post a Comment