

MABAO ya Azpilicueta dakika ya 25 na Juan Mata dakika ya 66, jana usiku yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal Uwanja wa Emirates, London katika mchezo wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One.
KIkosi cha Chelsea kilikuwa: Schwarzer, Azpilicueta, Bertrand, Mikel, Cahill, David Luiz, De Bruyne/Ramires dk69, Essien, Eto'o/Ba dk81, Mata/Kalas dk90 na Willian.
Arsenal: Fabianski, Jenkinson, Monreal, Ramsey, Koscielny, Vermaelen, Miyaichi/Ozil dk63, Wilshere, Bendtner/Giroud dk67, Rosicky na Cazorla.
No comments:
Post a Comment