Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Tuesday 11 February 2014

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya


















JUMLA ya shilingi milioni 25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine na timu ya Mbeya City ambayo ilishinda kwa goli 2-1 hapo Jumapili Februari 9, 2014.

WADAU WA MICHEZO WOTE KUTOKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI IRINGA,RUVUMA,RUKWA,KATAVI NA NJOMBE PAMOJA NA WALE WAPENZI WA MICHEZO TUUNGANE KUICHANGIA TIMU YA MBEYA CITY TIME ILIYOBADILI SOKA LA SIMBA NA YANGA
Na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment