Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Monday 20 January 2014

MANCHESTER CITY KUKIPIGA NA WEST HAM LEO.



Timu ya Manchester City leo itapambana na timu ya West Ham United katika uwanja wa Upton Parkkwenye mzunguko wa pili wa nusu fainali ya kombe la '' Capital One Cup''.


Manchester City ilishinda jumla ya magoli 6-0 katika mzunguko wa awamu ya kwanza ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani ''Etihad stadium''.

Chanzo, theguardian.com.

No comments:

Post a Comment