Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Monday 11 November 2013

MABONDIA SAID MBWELWA AMSAMBALATISHA SHABANI KAONEKA NA KALAMA NYILAWILA AMKALISHA KAMINJA RAMADHANI RAUNDI YA KWANZA


Bondia Said Uwezo kushoto akipambana na Sindano Paul wakati wa mchezo wao uliofanyika jumapili katika ukumbi wa Zulu paradaise pugu kulumba Dar es salaam uwezo alishinda kwa point mpambano huo

Refarii Saidi Chaku katikati akimnyosha mkono juu bondia Said Uwezo baada ya kumshinda kwa point mpinzani wake



Mabondia Kaminja Ramadhani kushoto na Kalama Nyilawila wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Kalama alishinda kwa K,o ya raundi ya kwanza



Bondia Twalibu Mchanjo kushoto akipambana na Mohamed Kashinde wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Mchanjo alishinda kwa K,o ya raundi ya tatu katika mpambano uho uliokuwa wa kusisimua picha na



Bondia Shabani Kaoneka Kushoto akipambana na Saidi Mbelwa wakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili Mbelwa alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza baada ya kumkalisha chini kwa konde kali na kushindwa kuendelea



Bondia Shabani kaoneka akiwa chini oi uku akiesabiwa na refarii kulia ni mpinzani wake Said Mbelwa akimsubili kwa hamu hata hivyo mbambano huo ulisha hapo hapo na mbelwa kufanikiwa kushinda kwa k,o ya raundi ya kwanza

No comments:

Post a Comment