Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Sunday 26 January 2014

NI CHELSEA NA MAN CITY, ARSENAL NA LIVERPOOL ROBO FAINALI KOMBE LA FA

KLABU ya Manchester City itamenyana na Arsenal katika Robo Fainali ya Kombe la FA wakati Chelsea itamenyana na Liverpool siku kadhaa kabla ya kumenyana na vigogo wa Ulaya, Barcelona na Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa.

Changamoto: Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho atakuwa na kazi mbele ya Manchester City

Mara ya mwisho: Bao la dakika za mwishoni la Fernando Torres liliipa Chelsea ushindi wa 2-1 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu England msimu uliopita

Unakumbuka? Aaron Ramsey alifunga katika ushindi wa Arsenal wa 2-0 dhidi ya Liverpool mapema msimu huu
ROBO FAINALI KOMBE LA FA
Manchester City v Chelsea
Sheffield United or Fulham v Nottingham Forest au Preston
Arsenal v Liverpool
Brighton v Hull
Cardiff v Wigan
Sheffield Wednesday v Charlton
Sunderland v Southampton
Everton v Swansea
Mechi zitachezwa wikiendi ya Februari 15, mwaka huu

No comments:

Post a Comment