Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Monday 2 December 2013

Snura kuachia wimbo wake mpya hivi Karibuni 'Ushaharibu'

Hitmaker wa Majanga 'Snura', anatarajia kuja na wimbo mpya utakaoitwa “Ushaharibu”.Wimbo huu utakuwa ni muendelezo wa nimevurugwa.

Haijajulikana kama Snura atashirikiana na msani yoyote katika kufanikisha uandaaji wa “ushaaribu”.Kaa Tayari.

Kama ulimiss kuiona video yake ya Nimevurugwa basi itazame hapa

No comments:

Post a Comment