Pages

ELIMU KWANZA.

ELIMU KWANZA.
FEDHA SIO KIPAUMBELE CHETU.

Friday 8 November 2013

NIGERIA U17 MABINGWA WA DUNIA 2013

Wachezaji wa U17 wa Nigeria wakishangilia na kombe lao la dunia baada ya kuifunga Mexico mabao 3-0 kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa Mohammad Bin Zayed, Abu Dhabi jana.
Timu ya vijana waliochini ya miaka 17 (U17) wa Nigeria imetwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne jana baada ya kuwalaza vijana waliochini ya miaka 17 (U17) wa Mexico mabao 3-0 katika fainali iliyopigwa Abu Dhabi. Pia Nigeria ilitwaa kombe hilo 1985, 1993 na 2007.

No comments:

Post a Comment