Pages
(Move to ...)
MWANZO
HABARI
▼
Tuesday, 25 March 2014
MAN CITY YAIPIGA MAN UNITED 3-0, ARSENAL YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA SWANSEA
›
KLABU ya Manchester City imewaangusha wapinzani wao Manchester United kwa mabao 3-0 usiku huu katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa...
BAYERN MUNICH YANYAKUA UBINGWA WA UJERUMANI
›
Na P.T Timu ya Bayern Munich ya ujerumani imenyakua kombe la ligi kuu ya nchi hiyo baada ya kuifunga Hertha Berlin kwa jumla ya mabao 3-1 n...
Saturday, 22 March 2014
SOMO : MAONO NA NDOTO * sehemu ya saba na nane*
›
Mtumishi Gasper Madumla. Haleluya.... Nakusalimu nikikuambia; Bwana Yesu asifiwe sana... Leo tunaingia katika kipengele kipya kabi...
YAYA TOURE APIGA HAT TRICK MAN CITY IKIUA 5-0 ENGLAND
›
MANCHESTER City imerudi kwa hasira katika Ligi Kuu ya England ikitoka kutolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya- baada ya jioni hii kuifumua mabao 5-0...
ROONEY APIGA BAO LA KIHISTORIA MAN UNITED IKING'ARA ENGLAND
›
MSHAMBULIAJI Wayne Rooney usiku huu amekumbushia enzi za David Beckham alipoifungia bao la umbali wa mita 58 Manchester United ikiifunga Wes...
ZAMALEK YALAZIMISHA SARE YA 0-0 NA NKANA ZAMBIA, ESPERANCE YAANZA NA SARE PIA UGENIN
›
Na Mwandishi Wetu, Kitwe MATUMAINI ya Nkana FC ya Zambia kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika yamepungua baada ya jioni ya le...
EL CLASICO UHONDO WAONGEZEKA, BENZEMA NA PIQUE WAREJEA KUZIONGEZEA NGUVU REAL MADRID NA BARCA ZIKIMENYANA LEO LA LIGA
›
TIMU za Barcelona na Real Madrid zote zimeongezewa nguvu kuelekea mchezo wa leo usiku wa El Clasico kufuatia habari kwamba Gerard Pique na K...
Tuesday, 18 March 2014
WOLPER: LAZIMA NIOLEWE NJE YA NCHI
›
STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameibuka na kudai kuwa, atafanya kila njia ili aolewe na mwanaume wa nje ya nchi na siyo Wabong...
KLABU ya Real Madrid imeungana na wapinzani wao nchini Hispania, Barcelona kutinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa mabao 3-1 usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid ambao unawafanya wasonge mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 9-2 dhidi ya Schalke ya Ujerumani.
›
Mabao yaliyoipeleka Madrid Nane Bora ya Ligi ya Mabingwa yamefungwa na Cristiano Ronaldo mawili dakika za 21 na 74 akifikisha mabao 41 msimu...
ETO'O AIPELEKA CHELSEA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA, DROGBA APATA MAPOKEZI MAZURI DARAJANI
›
CHELSEA itaendelea kupeperusha bendera ya England kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya usiku huu kuitoa Galatasaray ya Uturuki kwa jumla y...
Sunday, 16 March 2014
PIRLO AIPAISHA ZAIDI YA KILELENI JUVE SERIE A
›
MKONGWE Andrea Pirlo ameiwezesha Juventus kupaa kwa pointi 17 zaidi kileleni mwa Serie A kufuatia bao lake pekee la ushindi dakika ya 89 kwa...
‹
›
Home
View web version