Pages
(Move to ...)
MWANZO
HABARI
▼
Saturday, 18 January 2014
LIGI KUU UINGEREZA, MATOKEO YA MECHI ZA JANA.
›
Chanzo, Live Scores, www.tabasamuleo.blogspot.com
ARSENAL YAJIWEKA SAWA KILELENI EPL
›
Santi Cazorla akishangilia baada ya kuifungia Arsenal. Anayemfuata nyuma ni Olivier Giroud. ARSENAL imekaa mguu sawa kileleni mwa Ligi Kuu y...
NYOTA WATATU COASTAL UNION WAPATA ULAJI OMAN, NI NYOSSO, SANTO NA DANNY LYANGA
›
Na Mahmoud Zubeiry, Muscat WACHEZAJI watatu wa timu ya soka ya Coastal Union ya Tanga, beki Juma Nyosso, kiungo Jerry Santo na mshambuliaji ...
YANGA KUIVAA KS FLAMURTARI
›
Young Africans kesho itashuka dimbani kucheza na timu ya KS Flamurtari Vlore inayoshika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Ligi Kuu nchini Alb...
RONALDO KUWANUNULIA GARI JIPYAAAA MADAKTARI REAL MADRID...NI FURAHA YA BALLON D'OR
›
NI kazi ngumu kuwa mchua misuli wa Cristiano Ronaldo, lakini wakati mwingine inalipa. Mchezaji huyo ambaye hivi karibuni ameshinda tuzo ya M...
HENRY AITABIRIA UBINGWA ARSENAL.
›
Mshambuliaji mstaafu mwenye uraia wa kifaransa (Thiery Henry) aliyekuwa akiichezea club ya Arsenal iliopo kaskazini mwa jiji la London amese...
Thursday, 16 January 2014
RIHANNA AJICHORA TATTOO YA MSALABA MKONONI, ASEMA ANAPENDA MAMBO YA KIROHO
›
Rihanna akijipiga picha kwa simu yake baada ya tattoo yake kukamilika ©Twitter/Rihanna News Mwanamuziki Rihanna mzaliwa wa Barbados amejicho...
›
MESSI AIPIGIA MABAO YOTE BARCA IKISHINDA 2-0 KOMBE LA MFALME, LAKINI NEYMAR AUMIA NA HUENDA AKAWAKOSA MAN CITY LIGI YA MABINGWA Home » Unla...
VOGTS, WOLFGANG WAIBUKIA KAMBI YA YANGA
›
Wachezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Ujerumani ambao kwa sasa ni makocha wa timu ya Taifa ya Azerbeijan Berti Vogts na msaidizi wake Wol...
Wednesday, 15 January 2014
YANGA YAMKARIBISHA KWA 2-0 BABU MHOLANZI, OKWI NA DIDIER WAFANYA KWELI, KIIZA AKOSA PENALTI
›
Na Baraka Kizuguto, Antalya YANGA imemkaribisha vizuri kocha Mkuu mpya Hans van der Pluijm leo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhid...
SIMBA SC KUCHEZA NA MTIBWA SUGAR UWANJA WA TAIFA JUMAMOSI
›
Simba SC itacheza mchezo wa kirafiki na Mtibwa Sugar ya Morogoro Jumamosi wiki hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo unakuja siku c...
‹
›
Home
View web version